Hili ndilo jukwaa la Serengeti Fiesta 2012 ambalo mwanamuziki wa Hiphop Rick Ross “The Boss”kutoka kutoka nchini Marekani ataongoza wasanii mbalimbali wa nyumbani kutoa burudani katika tamasha hilo litakalofanyika kwenye viwanja wa Leaders jijini Dar es salaam Oktoba 6 Jumamosi ijayo.


0 comments: